• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prime Minister's Office, Regional Administration and Local Government Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

CHUKUENI TAHADHARI JUU YA UGONJWA WA MPOX

Imewekwa tarehe: August 22nd, 2024

Mkuu wa wilaya ya kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amewataka Waheshimiwa Madiwani kushirikiana na Serikali katika kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Mpox katika maeneo yao.

Ameyasema hayo katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa wakati akitoa maelekezo ya Serikali katika kikao cha baraza la madiwani lililofonyika 22 Agosti 2024 kwa ajili ya kujadili taarifa utekelezaji kwa robo ya nne  ya Aprili hadi Juni 2023/2024.

Mhe. Msofe amesema Serikali kupitia Idara ya Afya inatakiwa kuendelea kuweka mikakati ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu tahadhari na kinga ya ugonjwa wa Mpox ili waweze kujua namna ya kujikinga na ugonjwa huo.

Aidha Mkuu wa Wilaya amesema licha ya kwamba ugonjwa huo haujatangazwa kuingia nchini lakini ni vizuri wananchi kupatiwa elimu namna bora ya kujilinda kuhusu ugonjwa huo na kuanza kuchukua tahadhari.

Vile vile Mkuu wa Wilaya amekabidhi Vishikwambi kwa Waheshimiwa Madiwani ambavyo vimenunuliwa kwa mapato ya ndani ya halmashauri ili kuachana na matumizi makubwa ya karatasi na kuokoa gharama za usambazaji wa makabrasha na hivyo kuwezesha vikao kuendeshwa kidigitali.

Matangazo

  • BIMA YA AFYA KWA WOTE January 13, 2026
  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO UPANGISHAJI WA FREMU ZA MADUKA KATIKA STENDI YA MABASI MAZIWA NKWENDA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 June 12, 2025
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • FUM KYERWA DC YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

    January 22, 2026
  • DED KYERWA ATEMBELEA MIRADI YA AFYA

    January 20, 2026
  • MHE. BAHATI HENERICO ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA ALAT TAWI LA KAGERA

    January 14, 2026
  • KYERWA YAANZA MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 13, 2026
  • Tazama vyote

Video

KUFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO WILAYANI KYERWA
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2025, ICT Department Kyerwa District Council . All rights reserved.