Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imeanza maandalizi ya kushiriki katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Watumishi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa Tanzania ‘SHIMISEMITA’ yanayotarajiwa kufanyika tarehe 25 Agosti 2024 Jijini Mwanza.
Katika maandalizi hayo, timu za Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa zimeshiriki Bonanza la Michezo na timu za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe katika michezo ya Mpira wa Miguu, Mpira wa kikapu na Voleball.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved