Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa anawatangazia Wananchi wote wanaohitaji kupanga Fremu za Maduka Eneo la Stendi ya Mabasi Maziwa Nkwenda katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kwamba wanatakiwa kuomba kupitia mfumo wa TAUSI.
kwa maelezo zaidi fungua kiunganishi (link) kifuatacho: TANGAZO LA UPANGISHAJI WA VIBANDA.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved