Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Januari 13, 2026, imefanya kikao cha wadau wa Bima ya Afya kwa Wote kwa lengo la kuweka mikakati ya kuhamasishaji jamii kuelekea utekelezaji wa huduma hiyo, itakayozinduliwa rasmi hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
FUNGUA KIUNGANISHI (LINK) IFUATAYO:
WASILISHO LA MPANGO WA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE - PHC.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Copyright ©2025, ICT Department Kyerwa District Council . All rights reserved.