• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Madiwani kyerwa wapitisha bajeti ya shilingi 28,107,595,004.34

Imewekwa tarehe: February 18th, 2020

Kwa kuzingatia Mwongozo wa bajeti wa mwaka 2020-2021 , ilani ya uchaguzi, malengo ya maendeleo endelevu(SDG),mpango wa maendeleo wa taifa wa miaka 5, na dira ya maendeleo 2025,baraza la madiwani Halmashauri ya Kyerwa kwa pamoja limepitisha jumla ya shilingi 28,107,595,004.34 kama makisio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo tarehe 17.02.2020.

Akiwasilisha vipaumbele vya bajeti hii kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Afisa Mipango ndugu John Msafiri alisema kuwa Halmashauri  imepanga kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato,kuimarisha huduma za afya kwa kuwezesha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba,kuimarisha huduma za elimu kwa kuwezesha mazingira bora ya kujifunza na kufundishia,kuimarisha huduma za kilimo na mifugo,kuboresha kiwango cha maisha kwa kuwezesha makundi maalum ya wanawake, vijana na wenye ulemavu, na kuimarisha mifumo ya usimamizi ,ufuatiliaji,tathmini na utoaji wa taarifa ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu za kuwezesha kufanya maamuzi.

Aidha, kulingana mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021,Halmashauri inatarajia kutumia jumla ya 28,107,595,004.34 /= ambapo 974,320,000.00/=ni ruzuku ya matumizi ya kawaida, 18,707,379,000.00/= ni mishahara,3,577,664,009.34/= ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo toka serikali kuu,1,981,699,360/= ni makusanyo ya ndani, 1,569,032,635.00/= ni michango toka kwa wadau wa maendeleo,605,000,000.00 /= ni michango ya jamii, na 692,500,000.00/= ni fedha kutokana na CHF(Bima ya afya ya jamii), NHF(Bima ya serikali) na michango ya papo kwa papo tka kwenye vituo vya kutolea huduma.

Kwa mujibu wa bajeti hiyo, Halmashauri inataraji kupokea kiasi cha 23,259,363,009.34/= toka serikali kuu, 1,569,032,635.00/= toka wadau wa maendeleo, na kiasi cha 2,674,199,360/= kutokana na makusanyo ya ndani na 605,000,000.00 /=kutokana  na michango ya wananchi.

Katika mpango huu, Halmashauri inatarajia kutekeleza miradi ya ujenzi wa mnada wa kimkakati wa mifugo katika mpaka wa Murongo, ununuzi wa boti kwa ajili ya kudhibiti uvuvi haramu,ujenzi wa soko la kimkakati la mazao ya biashara katika mji wa Murongo, na kuwezesha ujenzi wa maegesho ya magari katika miji ya Nkwenda, na Murongo


Matangazo

  • TAARIFA YA FEDHA YA MWAKA 2024/2025 August 02, 2025
  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO UPANGISHAJI WA FREMU ZA MADUKA KATIKA STENDI YA MABASI MAZIWA NKWENDA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 June 12, 2025
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAPATIWA MAFUNZO

    August 04, 2025
  • MAAFISA MIFUGO WAKIPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA UFUATILIAJI NA UTAMBUZI WA MIFUGO

    July 31, 2025
  • NG’OMBE 93,984 KUPATIWA CHANJO KYERWA

    July 24, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI RUKURAIJO

    July 23, 2025
  • Tazama vyote

Video

KUFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO WILAYANI KYERWA
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved