Afisa Mwandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jimbo la Kyerwa anawatangazia raia wote wa Tanzania waishio Wilaya ya Kyerwa kuwa, kutakuwa na zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili litakaloanza tarehe 01 hadi 07 Mei 2025, Fuatilia kiunganishi hichi (Link):
TANGAZO LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved