Napenda kuwakaribisha katika Halmshauri ya Wilaya ya Kyerwa ambayo ni Wilaya Mpya Katika Mkoa wa Kagera na yenye fursa nyingi za uwekezaji ikiwemo Kilimo cha mazao ya biashara, chakula, Ufugaji wa samaki, Ufugaji wa wanyama, Uchimbaji wa Madini, Ujenzi wa majengo ya Ofisi mbalimbali, uwekezaji katika viwanda vidogo na vya kati kwa nyanja mbalimbali.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved