Nyumba ya Watumishi katika kituo cha Afya Murongo ambayo imefikia hatua za mwisho, ikitarajiwa kukamilika tar. 25 Juni 2023, tayari kwa kutumiwa na watumishi wakiwemo watumishi wapya wa kada afya watakaopangiwa Kituo hicho.