Mafundi wakiendelea na upigaji wa kenchi vyumba vya madarasa shule ya sekondari Chanyangabwa
Mafundi wakipiga kenchi
Mafundi wakiemndelea na umaliziaji wa upigaji kenchi vyumba 2 vya madarasa shule ya Sekondari Chanyangabwa
Mafundi wakiwa wamemaliza upigaji wa kenchi, na tayari fremu za madirisha zimewasili site ili zipachikwe
Shule ya Sekondari Chanyangabwa iliyopo kata ya Songambele ikiwa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa vimepigwa kenchi, ujenzi unaendelea
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved