Mkuu wa Shule ya Murongo Sekondari akikagua set up ya Msingi kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 02 vya madarasa
Vifusi vikiwa vimejazwa katika msingi wa vyumba 02 vya madarasa Murongo Sekondari
seti up ya Msingi wa vyumba viwili vya madarasa Murongo sekondari
Mwalimu mkuu shule ya sekondari Murongo akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa Vyumba viwili vya Madarasa
Fundi akikagua na kufunika pvc kwenye jamvi
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Murongo
Vyumba viwili vya madarasa vikiendelea kujengwa katika shule ya sekondari Murongo
Mkuu wa Shule ya Sekondari Murongo na kamati ya Mapokezi wakipokea vifaa vya ujenzim wa Vyumba 02 vya madarasa Shukle ya Sekondari Murongo
Nondo zikisukwa kwa ajili ya ufungaji wa rinta box vyumba viwili vya madarasa Shule ya Sekondari Murongo
Mkuu wa Shule ya Murongo Sekondari akikagua ubora wa Mbao
Ujenzi wa linta box vyumba 02 vya madarasa Murongo Sekondari Ukiendelea
Mafundi wakichapa kazi ya ufungaji wa linta box vyumba 02 vya madarasa shule ya Sekondari Murongo iliyopo kata aya Murongo Wilaya ya Kyerwa
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved