Ujenzi mpakata tarehe 24 Novemba,2021 umefikia hatua ya kufunga linta box vyumba 06 vya madarasa Shule ya Sekondari Kyerwa
Nondo zikisukwa kwa ajili ya ufungaji wa linta box vyumba vya madarasa 06 shule ya sekondari Kyerwa
Ujenzi wa vyumba 06 vya madarasa shule ya Sekondari Kyerwa ukiendelea ambapo itachukua muda wa siku 7 linta box kukaza, wakati huo mafundi watakuwa wakiendelea na kazi nyingine za kusuka kenchi, kupiga plasta n.k
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved