Maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Chitwe ukiwa katika hatua ya rinta
Maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Chitwe, upigaji plasta ukiwa umeanza kwa nje
Maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Chitwe, zoezi la upigaji plasta kwa nje likiendelea
Maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Chitwe, zoezi la upigaji plasta kwa nje likiendelea
Mafundi wakiendelea na zoezi la kuongeza kozi za matofali baada ya uwekaji rinta kukamilika katika mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Chitwe.
Mafundi wakiendelea na zoezi la kuongeza kozi za matofali baada ya zoezi la uwekaji rinta kukamilika katika mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Chitwe.
Zoezi la upigaji plasta katika kuta za ndani katika mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Chitwe ukiwa unaendelea
Maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Chitwe, zoezi la upigaji plasta kwa ndani likiendelea
Maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Chitwe, zoezi la uongezaji wa kozi za matofali likiendelea
Upigaji plasta kuta na msingi katika mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Chitwe ukiwa unaendelea
Upakaji rangi msingi katika mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Chitwe
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved