Shirika la Chakula na Kilimo Duniani linatekeleza mradi wa Kilimo na Ufugaji katika Mkoa wa Kagera kufuatia kutokea kwa Tetemeko la Ardhi ambalo lilipelekea upungufu wa chakula. Mabadiliko ya tabia ya nchi pia yalipelekea ukame wa muda mrefu. Malengo ya Mradi huu ni kusaidia katika kuboresha uzalishaji wa mazao ya kilimo na Ufugaji kwa wazalishaji wadogowadogo. ject. Pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Wilaya nyingine zinazonufaika ni pamoja na Muleba, Bukoba vijijini, Bukoba Manispaa na Missenyi. Kwa maelezo zaidi soma hapa.. TOVUTI FAO,TAARIFA FUPI .pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved