Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ilipokea kiasi cha fedha Sh. 477,720,132.00 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mbalimbali katika shule za msingi na sekondari. Fedha hizi zilitolewa na Benki hiyo kwa ajili ya urejeshaji wa miundombinu iliyoharibiwa na Tetemeko la Ardhi lililotokea mwaka 2016 na uharibu sehemu kubwa ya majengo ndani ya Mkoa wa Kagera Wilaya ya Kyerwa ikiwa mojawapo. Mgawanyo wa fedha hizo na shughuli zake pamoja na maendeleo ya ujenzi mpaka mwisho wa mwezi februari soma hapa Taarifa ya maendeleo ya miradi ya ADB.xls
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved