Mheshimiwa Bahati Henerico Lekayo ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa mpya aliyechaguliwa tarehe 03.12.2020 kwa ajili ya kushika wadhifa huo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2020 hadi 2025. Amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Mtangulizi wake Mhe. Singsbeth Kashunju Runyogote aliyeiongoza Halmashauri hii tangu kuanzishwa kwake mwaka 2013. Kabla ya kushika wadhifa huo alikuwa Diwani wa Kata ya Rwabwere kwa kipindi cha miaka mitano 2015 hadi 2020 na amekuwa Mjumbe katika kamati mbalimbali za kudumu za Halmashauri ikiwemo Kamati ya Fedha.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved