Wziri wa Ardhi, nyumba na Makazi, Mhe. William Lukuvi azuru Wilayani Kyerwa.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara Waziri Lukuvi aliwaagiza viongozi wa Wilaya ya Kyerwa kushirikiana kutatua migogoro mbalimbali ya Ardhi inayowakumba wananchi. Aidha aliwapa nafasi wananchi mmoja mmoja wenye kero zinazohusu migogoro ya Ardhi na kisha baadaye kutoa maelekezo kwa Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kutatua migogoro hiyo ambayo ilionekana siyo mikubwa sana na ipo ndani ya uwezo wa Watendaji hao.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved