Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Mheshimiwa Rashid Mohamed Mwaimu, anawakaribisha wananchi wote wa Wilaya ya Kyerwa na Viunga vyake kuupokea, kuukimbiza, na kuusindidiza Mwenge wa Uhuru 2022 kwa kipindi chote utakapokuwa hapa Wilayani.
Mwenge wa Uhuru utapokelewa eneo la Chanya station saa 12:00 asubuhi tarehe 9 oktoba, 2022 siku ya Jumapili,utatembelea miradi ya Kilimo, Maji, Kiwanda cha Chaki, na Elimu, na baadae mkesha utafanyika katika viwanja vya Mpira Isingiro station.
Nyote Mnakaribishwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved