Chalamila ameyasema hayo baada ya kupokea malalamiko ya wananchi kuhusu Vitambulisho vya Taifa. "Ni kweli kwamba anayekataza rushwa ni Kiongozi,na anayepokea rushwa ni Kiongozi,Haiwezekani kila siku tuzungumzie masuala yale yale ,magendo yale yale,hayo ni magendo au ni dili?" alisisitiza Mheshimiwa Chalamila.
Mkuu wa mkoa ameahidi kushughulikia suala hilo atakapokutana na viongozi katika kikao kazi cha ndani.
Kyerwa ni moja ya Wilaya zenye malalamiko makubwa ya vitambulisho kwa mujibu wa Mheshimiwa Chalamila.
Pamoja na maadhimisho hayo,Mkuu wa Mkoa alikagua miradi ya Afya, na Maji siku hiyo ya maadhimisho.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved