Siku ya upandaji miti kitaifa huazimishwa kila tarehe 1April ya kila mwaka.Kwa mwaka wa 2017 Wilaya ya kyerwa ilifanya maadhimisho haya katika shule ya msingi Kaina iliyopo kata ya Kakanja ambapo mgeni rasmi Mheshimiwa Luteni staafu Shaban Lissu (Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa),viongozi wengine Wilayani na wananchi wamepanda jumla ya miche ya miti 6300 katika shule ya msingi Kaina na vijiji jirani vinavyozunguka shule hiyo.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved