Kikao cha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango kilichoketi kujadili utekelezaji wa shughuli mbalimbali za mwezi Februari, 2018. Katika kikao hicho pamoja na shughuli nyingine Kamati ilijadili maendeleo ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali inayoendelea ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa. Aidha waliweza kujadili pia maendeleo ya miradi itakayopitiwa na ujumbe wa mwenge mapema mwezi Aprili. Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Kashunju, SR aliwasisitiza wajumbe wa Kamati kuendelea kushirikiana na wataalamu kusimamia na kukamilisha miradi hiyo kwa wakati.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved