Thursday 31st, October 2024
@Nkwenda Station
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Mheshimiwa Rashid Mwaimu, anawaalika wananchi wote wa Wilaya ya Kyerwa , kuhudhuria Mkutano wa Hadhara utakaoongozwa na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, katika eneo la Nkwenda station utakaoanza muda wa saa 8 mchana na kumalizika saa 11 jioni
Nyote mnakaribishwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved