Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Kyerwa kuwa Halmashauri inakusudia kutunga sharia ndogo ya Lishe 2023.
Rasimu ya sheria hiyo itapelekwa kwenye ofisi zote za kata katika Wilaya ya Kyerwa kwa ajili ya kutolewa maoni na wananchi kwa muda wa siku kumi na nne (14).
Kwa maelezo zaidi fungua kiambatanisho TANGAZO LA RASIMU YA SHERIA NDOGO.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved