Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Kyerwa wanaohitaji maeneo ya kufugaji wa NG’OMBE na NYUKI kuwa maeneo ya visiwa vya OMWIZINGA (Nyakazinga na Izinga) kwa ufugaji wa NG’OMBE au FORONGO kwa ufugaji wa NYUKI Vinapangishwa.
Maeneo haya yanapatikani kusini mwa nyanda za malisho ya mifugo ya SIINA na vinapakana na nchi jirani ya RWANDA.
KWA YEYOTE MWENYE NIA YA KUOMBA MAENEO HAYA KWA AJILI YA UFUGAJI, FUNGUA KIAMBATANISHO KWA MAELEZO ZAIDI:
Kupangisha Visiwa 25-Aug-2023 19-10-03.pdf
MAOMBI YATUMWE KWA BARUA, KWA:
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA,
S. L. P. 72,
KYERWA.
AU
BARUA PEPE: ded@kyerwadc.go.tz
WOTE MNAKARIBISHWA.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved