Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kyerwa, anawaalika waombaji waliokidhi vigezo kuhudhuria usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 29 Julai, 2022 mpaka tarehe 01 Agosti, 2022 utakaofanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi Kyerwa.Mnakaribishwa.TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KYERWA DC.pdf