Wananchi wote wa Wilaya ya Kyerwa, Wadau wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Viongozi, Watumishi na Taasisi mbalimbali, sasa Taarifa za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zinapatikana kwa njia ya Mtandao (Internet). Kwa njia ya Mtandao, Tume inatoa Elimu ya Mpiga kura kwa nchi nzima juu ya;
1.Taarifa za taratibu za Uchaguzi na hatua zote za mchakato wa Uandikishaji wa wapiga kura,
2.Uanzishaji wa Majimbo ya Uchaguzi,
3.Uteuzi wa Wagombea,
4.Kampeni za Uchaguzi,
5.Upigaji wa Kura,
6.Kuhesabu Kura,na Kujumlisha hesabu za kura na
7.Kutangaza matokeo.
Taarifa hizo zinapatikana kupitia;
1.www.nec.go.tz
2.Nec Mobile App – Ingia Play Store na andika “Electral Commission of Tanzania”
3.NEC Online tv – Tanzania inayopatikana www.google.com
4.Facebook – Tume ya Uchaguzi.tanzania - www.facebook.com
5.Instagram – tumeyauchaguzi_tanzania – www.instagram.com
6.Twitter – Tume UTZ chaguzi – www.//twitter.com
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved