MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA ANAPENDA KUWATANGAZIA WAOMBAJI WA AJIRA KATIKA NAFASI MBALIMBALI KUWA USAILI UNATARAJIWA KUENDESHWA KUANZIA TAREHE 3 HADI 7 OCTOBA 2024 NA HATIMAYE KUPANGIWA VITUO VYA KAZI KWA WATAKAO FAULU USAILI HUO.
FUNGUA KIAMBATA (LINK) ILI KUONA ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved