Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kyerwa, anawaalika waombaji waliokidhi vigezo kuhudhuria usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 29 Julai, 2022 mpaka tarehe 01 Agosti, 2022 utakaofanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi Kyerwa.
Mnakaribishwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved