Mradi wa TASAF awamu ya Tatu - Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Halmashauri ya Kyerwa ulizinduliwa rasmi mnamo tarehe 09 Januari, 2015 na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mheshimiwa Luteni Kanali Kitenga baada ya kufanyika semina iliyoandaliwa na wawezeshaji wa TASAF iliyokutanisha wadau mbalimbali katika Wilaya.
Lengo la mradi huu ni kuziwezesha kaya maskini kupata mahitaji ya msingi na fursa za kujiongezea kipato.Walengwa wa mpango ni kaya maskini katika jamii kwenye Wilaya ya Kyerwa.
Walengwa wa mpango wanavyopatikana
Walengwa wa Mpango huu wanapatikana kupitia utaratibu ufuatao:
Maeneo yanayotiliwa Mkazo
TASAF awamu ya Tatu-Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Zilizo Katika Mazingira Hatarishi unatilia mkazo maeneo makuu yafuatayo:
Sehemu za Mpango
TASAF awamu ya Tatu-Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Zilizo katika Mazingira Hatarishi una sehemu kuu nne.Sehemu hizo ni:
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved