Katika kuhakikisha lishe inaendelea kuwa ni suala mtambuka kwa jamii, Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe ameitaka jamii ya Wanakyerwa kuwa na bustani za mbogamboga katika kila kaya ili kuboresha lishe katika familia zao.Mkuu wa Wilaya ametoa kauli hiyo leo tarehe 15 Novemba 2024 katika kikao cha tathimini ya mkataba wa lishe robo ya kwanza 2024/2025 kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved