Kamati ya Lishe ya Wilaya ya Kyerwa imefanya kikao chake cha Robo ya Kwanza ya kuanzia mwezi Julai hadi Septemba Mwaka 2023/2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Kyerwa chenye lengo la kupokea na kujadili taarifa ya hali ya lishe katika Wilaya ya Kyerwa.
Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Lishe ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa SACF. James John.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved