Fanya yafuatayo kupata kibali cha kusafirisha mifugo
1. Pata barua ya uthibitisho wa uhalali wa umiliki wa mfugo kwa M/Kiti wa kitongoji husika
2. Peleka barua hiyo kwa Afisa Mtendaji wa kijiji husika (Mfugo ulipo) ili akuandikie barua kwenda kwa Afisa Mifugo
3. Afisa Mifugo (Wa eneo husika kama yupo) atakagua afya ya mifugo kama wanafaa kusafirishwa na atakuandikia barua
4. Fika Ofisi ya Mifugo Wilaya kwa ajili ya taratibu za kulipia ushuru na kupewa kibali cha kusafirisha
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved