• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Sheria

Kitengo cha Sheria cha Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ni moja kati ya vitengo na idara za Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ambacho kinafanya kazi zake chini ya idara ya Utawala, kitengo kilianzishwa mwaka 2012 mara baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kuanzishwa, na kinafanaya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Wilaya) sura ya 287.

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ni moja kati ya vitengo na idara za Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ambacho kinafanya kazi zake chini ya idara ya Utawala, kitengo kilianzishwa mwaka 2012 mara baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kuanzishwa, na kinafanaya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Wilaya) sura ya 287.

Kitengo cha Sheria kina Kanuni za kimaadili zinazozingatia Kanuni za maadili za Wanasheria Tanzania ikiwa ni pamoja na uwazi,usiri,uaminifu,utaalamu,kujitolea,Kufanya kazi kwa pamoja,uwajibikaji,ubora wa kazi,demokrasia,na uhuru wa mawazo.

Malengo Mkakati ya Kitengo:-

  1. Kuongeza uwezo wa Kitengo kwa kuwawezesha ma Afisa Sheria kitaaluma na kununua vitendea kazi.
  2. Kupunguza mashauri Mahakamani kwa kutafuta njia mbadala za mapatano na wadai wa Halmashauri.
  3. Kuiwakilisha Halmashauri katika mashauri mahakamani pale inapobidi.
  4. Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji katika Nyanja zote za kisheria.
  5. Kusimamia utekelezaji wa Sheria katika Idara na Vitengo.
  6. Kwa kushirikiana na Idara mtumizi, jamii na wadau kwa ujumla, kutunga sheria ndogo zitakazosaidia upataikanaji wa maendelea na ulinzi na amani katika jamii.
  7. Kufanya tafiti za kisheria katika jamii inayotuzunguka.
  8. Kuziwezesha Idara na Vitengo katika Nyanja za Kisheria


Matangazo

  • Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5,vyuo vya ufundi na vyuo vya elimu ya kati mwaka 2018 June 18, 2018
  • Kuitwa Kazini nafasi 27 watendaji wa vijiji May 17, 2018
  • Mlipuko wa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa May 17, 2018
  • Elimu ya Mpiga kura kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC May 12, 2018
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • Miradi ya FAO

    February 07, 2019
  • Baraza la madiwani Kyerwa lapitisha makadirio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya jumla ya Tsh 30,248,943,791.77

    January 21, 2019
  • Kamati ya Siasa

    January 17, 2019
  • CHF iliyoboreshwa kunufaisha wananchi wa kaya za kipato cha chini

    December 22, 2018
  • Tazama vyote

Video

Kingozi wa mbio za mwenge mwaka 2018 Bw. Charles Francis Kabeho azindua Miradi wilayani Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti ta Serikali

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Mapokezi ya wageni

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved