Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru ukiwa umemalizika hatua ya uwekaji wa rinta
Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru ukiwa katika hatua ya upigaji plasta
Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru, zoezi la upigaji plasta likiwa linakaribia kukamilika kwa nje
Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru katika hatua ya uwekaji wa ngazi
Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru zoezi la upigaji kenchi likiwa linaendelea
Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru zoezi la upigaji kenchi likiwa limekamilika
Mafundi wakianza zoezi la uezekaji wa bati katika mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru
Mafundi wakiendelea na zoezi la uezekaji wa bati katika mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Sekondari Rutunguru
Ujenzi wa vyumba vitatu (05) vya Madarasa Katika Shule ya Sekondari Rutunguru ukiwa umekamilika hatua ya uezekaji. Mradi huu wenye thamani ya shilingi milioni 100 fedha kupitia mfuko wa UVIKO-19. Mradi huu unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Ujenzi wa vyumba vitatu (05) vya Madarasa Katika Shule ya Sekondari Rutunguru ukiwa umekamilika hatua ya uezekaji. Mradi huu wenye thamani ya shilingi milioni 100 fedha kupitia mfuko wa UVIKO-19. Mradi huu unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved