Ujenzi wa vyumba 02 vya madarasa ukiwa umefikia hatua ya kupandisha kenchi.Picha imepigwa tarehe 23 Novemba, 2021
Ujenzi wa vyumba 03 vya madarasa shule ya sekondari Isingiro ukiwa katika hatua ya lenta
Muonekano wa vyumba 02 vya madarasa sekondari ya Isingiro
Shule ya sekondari Isingiro inajenga vyumba 5 vya madarasa vyenye thamani ya shilingi milioni 100, mpaka tarehe 25 Novemba, 2021 kiasi cha shilingi milioni 70 kimetumika ambapo vyumba 3 vipo hatua ya lenta, na vyumba 2 vimeshapigwa kenchi
Mbao kwa ajili ya kenchi zikiwa zimewasili site kwa ajili ya vyumba 03 vya madarasa shule ya sekondari Isingiro
Mafundi wakiendelea na upigaji wa plasta vyumba vya madarasa shule ya sekondari Isingiro
Muonekano wa nyuma vyumba vya madarasa shule ya sekondari Isingiro
Ujenzi ukiendelea shule ya sekondari Isingiro kwa mradi wa UVIKO -19
Maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya sekondari Isingiro
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved