• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Wilaya ya Kyerwa yaadhimisha siku ya Muungano kwa kufanya usafi

Imewekwa tarehe: April 26th, 2022

Wilaya ya Kyerwa, leo tarehe 26 Aprili, 2022 imeadhimisha sherehe za Muungano kwa kufanya usafi maeneo kadhaa ndani ya Wilaya. Zoezi la maadhimisho haya lilianzia eneo la ofisi za Halmashauri ambapo watumishi na wananchi walikusanyika mnamo saa 12 asubuhi kwa kufyeka nyasi na uokotaji wa takataka zilizokuwa mahali pasipostahili. 

Aidha, baadae ya kufanya usafi kwenye ofisi za Halmashauri, watumishi na wananchi kwa umoja wao walielekea eneo la Rwenkorongo kujumuika na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya pamoja na wanachi wa Rwenkorongo kwa kufanya usafi maeneo ya pembezoni mwa barabara, eneo la Gulio/soko pamoja na mitaa ya viunga vya Rwenkorongo.

Aidha, katika kuhitimisha zoezi la usafi ambalo lilikamilika mida ya saa 4 asubuhi, Katibu Tawala wa Wilaya Mheshimiwa  SI.Benjamin R Mwikasege aliwashukuru wananchi wote waliojitokeza kushiriki katika maadhimisho haya, na kuwasisitiza wajitokeze kwa wingi katika kushiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi linalotarajia kufanyika tarehe 23 Augosti, 2022. Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Ndugu SACF. James John alisema" Eneo la Rwenkorongo ni makao makuu ya Wilaya, hivyo wananchi wa eneo hili tujenge utamaduni wa kufanya usafi maeneo yetu kila siku, hii itasadia kuondokana na adui maradhi kutokana na uchafu".

Muungano wa Taganyika na Zanzibari  uliasisiwa tarehe 26 Aprili, 1964 takribani miaka 58 iliyopita, na Hayati Mwl. Julius Kambarage  Nyerere, na Hayati  Abeid Aman Karume.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI MBALIMBALI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO UPANGISHAJI WA FREMU ZA MADUKA KATIKA STENDI YA MABASI MAZIWA NKWENDA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 June 12, 2025
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • KYERWA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • NI SWALA LA KUAMUA TU, SISI WANAKYERWA HATUTAKI UCHAFU

    May 31, 2025
  • DC AFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

    May 29, 2025
  • TUSHIRIKIANE KUPAMBANA NA MAGENDO YA KAHAWA-DAS KYERWA

    May 14, 2025
  • Tazama vyote

Video

KUFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO WILAYANI KYERWA
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved