• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Skauti Kyerwa Yasajili wanachama Wapya 226

Imewekwa tarehe: February 19th, 2022

Chama cha Skauti Wilaya ya Kyerwa,kimesajili jumla ya wanachama wapya 226 katika mahafali yaliyofanyika hivi karibuni, katika viwanja vya mpira wa miguu Isingiro.Katika mahafali hayo, yaliyohudhuriwa na Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Mheshimiwa Profesa Faustine Kamuzora , ambaye alikuwa mgeni rasmi,shughuli mbalimbali zilifanyika ikiwapo tukio la upandaji wa miti katika shule ya sekondari Isingiro.Aidha uapisho wa wanachama wapya wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Rashid Mwaimu, jumla ya wanachama 226 kutoka makundi ya Walimu wa shule za Msingi na Sekondari, Watendaji wa Kata, Wakuu wa Idara na Vitengo, Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya,Viongozi wa Chama na wananchi kwaq ujumla waliapa kiapo cha utii kujiunga na skauti,

Akiapisha wanachama hao, Kamishna wa Skauti Mkoa wa Kagera, Padre Marcel Rutakyamirwa aliwaasa wanachama wapya kutii na kuishi misingi ya skauti ili kuwa mabalozi wazuri katika kulinda na kuimarisha uzalendo kwa vijana wadogo. Aidha, naye Ndugu Flavius M.Kabalila akisoma risala kwa Mgeni rasmi alisema kuwa toka mwaka 2015 chama cha skauti Wilaya kimefanikiwa kupata ushindi wa nasafi ya kwanza kitaifa mfululizo mara tatu,kuanzisha makundi ya skauti kwa shule zote za Msingi na Sekondari Wilayani, na kuandaa vikosi vya Maafa na Uokoaji ngazi ya Kata.

Chama cha Skauti Kyerwa, kilianzishwa mnamo mwaka 2015 kikiwa na jumla ya wanachama 42 pekee, hadi kufikia sasa chama kimefikisha jumla ya wanachama 4,548.Matarajio ya chama kwa siku za usoni ni pamoja na kuanzisha mafunzo ya uongozi (PTC) kwa walimu walezi wa Skauti, kuendeleza mashirikiano kati ya Chama cha Skauti na TAKUKURU (TAKUSKA), na kuendesha mafunzo kwenye shule kwa kushirikiana na jeshi la Zimamoto.

Kauli Mbiu "Skauti be prepared"




Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA UTOAJI WA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA LISHE KWA WATOTO WA UMRI KUANZIA MIEZI 6 HADI 59 November 27, 2023
  • TANGAZO LA MABADILIKO YA BEI YA USHURU WA MKUNGU WA NDIZI December 31, 2023
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • MNASTAHILI PONGEZI KWA USIMAMIZI, UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 07, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA KYERWA

    April 29, 2025
  • TUNAPASWA KUULINDA MUUNGANO WETU-DC. MSOFE

    April 26, 2025
  • ‘TAULO HIZI ZITAWASAIDIA WATOTO KUSOMA KWA UHURU NA UTULIVU’

    March 07, 2025
  • Tazama vyote

Video

Kamati ya siasa ukaguzi wa Miradi Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved