JJAD Kagera Farmers (T) kwa kushirikiana na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imesitawisha miche ya kahawa aina ya robusta katika kijiji cha Karenge, Tarafa ya Kaisho Wilayani Kyerwa. Miche hiyo zaidi ya milioni 3 inatarajiwa kugawiwa bure kwa wakulima kama motisha ya kukuza uzalishaji wa zao la kahawa. Uzinduzi wa ugawaji wa miche hiyo ulifanywa na Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Antony Mavunde (mb).
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved