• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

KYERWA YAFANYA USAFI NA KUPANDA MITI KUELEKEA MAADHIMISHO MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Imewekwa tarehe: April 20th, 2024

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kyerwa Bw. Mussa Gumbo leo Aprili 20, 2024 ameongoza zoezi la kufanya usafi wa mazingira pamoja na kupanda miti katika Shule ya Sekondari ya Kyerwa Modern ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Aprili 26 mwaka huu.

Katika zoezi hilo, miti 250 imepandwa katika eneo la Shule ya Sekondari Kyerwa Modern iliyopo Kata ya Kyerwa pamoja na Miti 350 imepandwa katika eneo la Shule ya Msingi Kaaro Kata ya Nkwenda na kufanya jumla ya Miti 600 kupandwa leo katika Wilaya ya Kyerwa.

Akizungumza baada ya zoezi hilo Katibu Tawala amesema kuelekea miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wilaya imezindua kwa zoezi la kufanya usafi na kupanda miti na uhifadhi wa mazingira na kuhimiza juu ya utunzaji wa mazingira kwa kuendelea kupanda miti katika maeneo mbalimbali.

Katika zoezi hilo Katibu Tawala Bw. Gumbo, ameambatana na Diwani wa Kata ya Kyerwa Mhe. Aloyce Mafundi, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mwl. Mayala Sengerema, Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Watumishi kutoka Halmashauri, Wataalam mbalimbali kutoka ofisi za umma, wananchi pamoja na wanafunzi.

Kauli mbiu ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru inasema, “miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa Letu”.  

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA UTOAJI WA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA LISHE KWA WATOTO WA UMRI KUANZIA MIEZI 6 HADI 59 November 27, 2023
  • TANGAZO LA MABADILIKO YA BEI YA USHURU WA MKUNGU WA NDIZI December 31, 2023
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • MNASTAHILI PONGEZI KWA USIMAMIZI, UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 07, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA KYERWA

    April 29, 2025
  • TUNAPASWA KUULINDA MUUNGANO WETU-DC. MSOFE

    April 26, 2025
  • ‘TAULO HIZI ZITAWASAIDIA WATOTO KUSOMA KWA UHURU NA UTULIVU’

    March 07, 2025
  • Tazama vyote

Video

Kamati ya siasa ukaguzi wa Miradi Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved