• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Kyerwa bila Polio inawezekana-Rashid Mwaimu

Imewekwa tarehe: September 1st, 2022

Kampeni ya Kitaifa ya chanjo ya matone inafanyika nchi nzima. Lengo la kampeni hii ni kuhakikisha tunazuia uingizwaji wa ugonjwa wa Polio nchini, kutokana na mlipuko wa ugonjwa huu uliotokea nchi za jirani za Malawi na Msumbiji. Wilaya ya Kyerwa imefanya uzinduzi huu tarehe 01 Septemba, 2022 katika Kituo cha Afya Nkwenda na kuzinduliwa na mgeni rasmi Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Rashid Mwaimu. Zoezi  la utoaji wa chanjo litafanyika kwa muda wa siku nne kuanzia tarehe 01 mpaka tarehe 4 septemba, 2022.

Akisoma taarifa kwa Mgeni rasmi, mratibu wa chanjo Wilaya, ndugu Awadhi Rushengo alisema kuwa  chanjo ya Polio ni muhimu kwa ajili ya kinga kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka 5. Aidha. Aliongeza kwa kusisitiza kuwa chanjo yam atone ya Polio ni kwa watoto wote waliowahi kupata na wasiopata chango hii hapo awali.

Naye Mheshimiwa Rashid Mwaimu  aliwasisista wananchi wote wenye watoto chini ya umri wa miaka 5 kujitokeza, ili watoto wao wapatiwe chango na kuweza kufikia lengo la uchanjaji wa watoto 87,780 ndani ya Wilaya.

“Sisi kama Serikali, tumeishafanya maandalizi yote kwa ajili ya kuwapatia chanjo watoto wetu,niwahimize wazazi na walezi pelekeni  watoto wenu  kupatiwa chanjo katika vituo vya tiba na maeneo mbalimbali ambayo wataalam wetu wa Afya watakuwepo katika kutoa chanjo hii” Alisisistiza Mheshimiwa Mwaimu.




Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA UTOAJI WA VITAMINI A NA UPIMAJI WA HALI YA LISHE KWA WATOTO WA UMRI KUANZIA MIEZI 6 HADI 59 November 27, 2023
  • TANGAZO LA MABADILIKO YA BEI YA USHURU WA MKUNGU WA NDIZI December 31, 2023
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • MNASTAHILI PONGEZI KWA USIMAMIZI, UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 07, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA KYERWA

    April 29, 2025
  • TUNAPASWA KUULINDA MUUNGANO WETU-DC. MSOFE

    April 26, 2025
  • ‘TAULO HIZI ZITAWASAIDIA WATOTO KUSOMA KWA UHURU NA UTULIVU’

    March 07, 2025
  • Tazama vyote

Video

Kamati ya siasa ukaguzi wa Miradi Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved