Mheshimiwa Singsbeth Kashunju Runyogote ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 2013. Ameiongoza Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kwa mafanikio makubwa. Halmashauri chini yake imeweza kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo ya Afya, Elimu, Maji na Kilimo ambayo inatoa huduma kwa wananchi.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded.kyerwa@kagera.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved