Wananchi wote wa Wilaya ya Kyerwa mnatangaziwa kuwa mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2019 hapa Wilayani utafanyika mnamo tarehe 26 Aprili, 2019.Hivyo mnaalikwa kushiriki katika mapokezi haya eneo la mkesha uwanja wa mpira wa miguu Isingiro.
Kutakuwa na risala ya utii kwa mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakayosomwa na mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa.Aidha ngoma na vikundi mbali mbali vya burudani vitasherehesha mkesha huu.
Karibuni.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved