• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Dunia “mshikamano wa kimataifa tuwajibike kwa pamoja”

Imewekwa tarehe: December 2nd, 2020

Mtu mmoja mwanamke mwenye umri wa miaka 25 akututwa na maambukizi ya UKIMWI, kati ya watu 77 waliopima virusi  hivyo katika siku ya maadhimisho ya UKIMWI Wilayani Kyerwa.Upimaji huo umefanyika kwa jumla ya watu 77, wakiume wakiwa ni 44 na wakike 33.

Akisoma risala ya maadhimisho hayo  kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa wenye  ujumbe  unaosema “mshikamano wa kimataifa tuwajibike kwa pamoja”  ndugu Philibert Binamungu  alisema kwamba ufuasi sahihi wa tiba itolewayo kwa WAVIU(Watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI) ni moja ya misingi ya kuimarisha afya, utu na ari ya kuishi maisha bora bila unyanyapaa kwa  wanaoishi na VVU katika jamii.

Takwimu za hali ya maambukizi kwa Wilaya ya Kyerwa. Mwaka 2019 hali ya maambukizi ya UKIMWI  ilikuwa  kuwa  kama ifuatavyo:- Waliopimwa  ni 64,078, kati ya hao wanaume ni 32,390 na wanawake waliopima ni 32,214. Waliogundulika kuwa na maambukizi ni 3,182 sawa na 4.9%, kati ya hao 1,440 ni wanaume na 1,742 ni wanawake. Kwa mwaka 2020 upimaji umefanyika na waliopima ni kama ufuatavyo:- Jumla ya waliopima VVU ni 14,723, kati ya hao wanaume ni 6928,  na wanawake ni 7895 . Waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU ni 1,948 sawa na 13.2%. Takwimu hizi za miaka miwili zinaonesha kuwapo kwa ongezeko la maambukizi ya VVU kwa 8.3% ikilinganisha na mwaka 2020. Hii inatokana na ukweli kuwa, mwaka huu upimaji umewafuata walengwa ambapo ni pamoja na kupima  wenza wa waishio na VVU kwa kufuata mnyororo( Index testing)   na kuwaibua.

Maadhimisho hayo yalifanyika katika kijiji cha Kigorogoro kata ya Kibale hapa Wilaya ya Kyerwa, na kuhudhuriwa na Mgeni rasmi ndugu Scalion Boniphase Kagaruki ambaye pia ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Kibale.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI MBALIMBALI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO UPANGISHAJI WA FREMU ZA MADUKA KATIKA STENDI YA MABASI MAZIWA NKWENDA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 June 12, 2025
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • KYERWA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • NI SWALA LA KUAMUA TU, SISI WANAKYERWA HATUTAKI UCHAFU

    May 31, 2025
  • DC AFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

    May 29, 2025
  • TUSHIRIKIANE KUPAMBANA NA MAGENDO YA KAHAWA-DAS KYERWA

    May 14, 2025
  • Tazama vyote

Video

KUFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO WILAYANI KYERWA
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved