• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Katibu mkuu kiongozi atoa maagizo mahsusi kwa watumishi wa umma wilayani kyerwa

Imewekwa tarehe: July 23rd, 2019

Watumishi wa taasisi za umma zilizopo Wilayani Kyerwa,leo hii wamepatiwa mafunzo juu ya sheria,kanuni na taratibu za utumishi wa umma kutoka ofisi ya Rais Ikulu katibu Mkuu Kiongozi.

Mafunzo haya yaliyoendeshwa na  wataalam wa Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,ndugu Fransis Mangira ambaye ni mratibu wa utawala ,na ndugu Abdalah Said Mangare ambaye ni mratibu msaidizi utawala yalijikita katika kuwajengea uwezo watumishi wa umma kutambua sheria,kanuni,taratibu,na miongozo mbali mbali katika kuhudumia wananchi.

Aidha,katika kusisitiza ndugu Fransis Mangira,aliwasilisha maagizo matano mahsusi toka kwa ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi kwa watumishi wote kama ifuatavyo:-

  • Kila mtumishi wa umma kuanzia ngazi ya chini hadi uongozi akae na mkuu wake wa kazi na kupeana majukumu ya kazi.
  • Kila mtumishi wa umma katika nafasi yoyote ile aliyopo,katika kutekeleza majukumu yake ahakikishe hachonganishi Serikali na wananchi.Hii ni pamoja na kutoa huduma bila upendeleo.
  • Kila mtumishi wa umma ahakikishe anampokea mwananchi na kumsikiliza kwa makini na heshima,ili kuhakikisha anapata huduma vizuri.
  • Kila mtumishi wa umma,katika ofisi aliyopo ahakikishe mwananchi yoyote anayetaka huduma, amhudumie kwa unyenyekevu,upendo,utu na bila upendeleo wowote.Aidha, lazima malalamiko ya wananchi yapokelewe na kuratibiwa kwa haraka.
  • Kila mtumishi wa umma,ahakikishe anatekeleza majukumu yake,asichanganye utumishi wake na siasa.

Pia ndugu Mangira  aliwasisitiza watumishi kujitambua kwamba wao ni kundi dogo la wananchi wenye taaluma ,uzoefu,na weledi waliobatika kupata nafasi ya kuwahudumia wananchi walio wengi kwa niaba yao.Naye ndugu Abdalah Mangira,akiwasilisha maada aliwata watumishi kufanya vikao vya watumishi ili kuondoa changamoto mbalimbali za kiutumishi,kufuatilia utendaji wa watumishi waliopo ngazi za chini,kuheshimu mamlaka,madaraka na mipaka ya majukumu,kuzigatia maadili ya utendaji wa kazi, na kufuata namna bora ya mawasiliano serikalini.Katika kuahirisha kikao kazi hicho, katibu tawala  Wilaya,mheshimiwa Gyeson Mwengu aliwasisitiza watumishi kuvisaidia vyombo vya ulinzi na usalama kutoa taarifa juu ya wahamiaji haramu wanaoingia nchini katika vyombo vya dola.

Matangazo

  • Tangazo la nafasi ya kazi Afisa Biashara November 06, 2019
  • Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5,vyuo vya ufundi na vyuo vya elimu ya kati mwaka 2018 June 18, 2018
  • Kuitwa Kazini nafasi 27 watendaji wa vijiji May 17, 2018
  • Mlipuko wa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa May 17, 2018
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • Wananchi wahamasika ujenzi wa Zahanati ya Rwensheshe

    December 02, 2019
  • FAO waendelea kunufaisha Kyerwa

    October 30, 2019
  • Ukaguzi miradi UNDP Kyerwa

    October 29, 2019
  • Katibu mkuu kiongozi atoa maagizo mahsusi kwa watumishi wa umma wilayani kyerwa

    July 23, 2019
  • Tazama vyote

Video

Uapishaji wa wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji waliochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 Wilaya ya Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved