• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Baraza la Madiwani la kwanza kwa mwaka 2020-2025 lafanyika wilayani Kyerwa kwa mafanikio.

Imewekwa tarehe: December 3rd, 2020

Baraza la Madiwani la Kwanza kwa 2020-2025 wilayani Kyerwa limefanyika tarehe 03.12.2020 kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa muda Ndg, S.I Benjamin Mwikasyege (Aliyesimama pichani) ambaye ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Kyerwa. Mwenyekiti huyo wa muda ni kwa mujibu wa Sheria za uendeshaji wa Serikali za Mitaa pale Mwenyekiti wa Halmashauri anapokuwa hajachaguliwa. Mwenyekiti huyo wa muda aliongoza uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Makamu wake ambapo Mhe, Bahati Heneriko Lekayo (Diwani wa Kata ya Rwabwere) alichaguliwa kuwa Mwenyekiti na Mhe, Clarence Rugemalira Rugimbana (Diwani wa Kata ya Mabira) alichaguliwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti. Aidha baada ya Mwenyekiti kuchaguliwa alikabidhiwa kiti na kuendelea kuendesha kikao hcho cha Baraza kwa kuunda Kamati zote za kudumu kwa kuteua Wajumbe wa Kamati hizo. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Wakuu wa Idara, Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Wananchi waliofanikiwa kufika. Mwenyekiti aliyechaguliwa alitumia fursa hiyo kueleza mwelekeo wa Halmashauri baada ya Uchaguzi kukamilika ambapo alisisitiza kuepuka makundi ya kisiasa ambayo yanaweza kukwamisha maendeleo ya Halmashauri na pia alisisitiza kila mmoja katika Halmashauri kushiriki kikamilifu katika kukusanya na kusimamia na hatimaye kutumia mapato ya Halmashauri kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya Halmashauri. Aliwashukuru Watumishi na Viongozi wote katika ukumbi huo na kuomba ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu.

Matangazo

  • Tangazo la Tozo katika Mnada wa Mifugo January 01, 2021
  • Kuitwa Kazini nafasi 27 watendaji wa vijiji May 17, 2018
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA VIJIJI TAREHE 26-27 JUNI, 2020 June 19, 2020
  • Mlipuko wa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa May 17, 2018
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa yagawa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa vyenye thamani ya milioni 68.6

    January 25, 2021
  • Jaffo, akerwa na kusuasua kwa ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

    January 06, 2021
  • Mnada uliofungwa kwa miaka mingi Kyerwa wazinduliwa

    December 16, 2020
  • Baraza la Madiwani la kwanza kwa mwaka 2020-2025 lafanyika wilayani Kyerwa kwa mafanikio.

    December 03, 2020
  • Tazama vyote

Video

Utekelezaji wa dhana ya viwanda Wilayani Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved