Thursday 25th, April 2024
@Kyerwa District
Tetemeko la Ardhi limetokea Koani Kagera Wiaya ya Kyerwa ikiwa ni moja ya Wilaya zilizoathirika. Takribani Taasisi za Serikali 33 na watu binafsi 96 wamepata athari ya Tetemeko hilo. Aidha watu waliojeruhiwa 6 walifikishwa kituo cha Afya cha Nkwenda na kupewa matibabu na wote wameruhusiwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved