Sekta ya ufugaji ni moja wapo ya shughuli kuu za kiuchumi katika Wilaya ya Kyerwa.Wafugaji wamekuwa wakifuga mifugo yao kiasili na kwa kutumia ufugaji wa kisasa.Takwimu za idadi ya mifugo Wilayani kwa mujibu wa sensa ya mifugo ya Wilaya iliyofanyika mwezi Novemba,2013 ni kama ifuatavyo:
Wanyama Mwaka
2013/2014 2014/2015
Ng’ombe wa asili 72,955 75,144
Ng’ombe maziwa 2,972 3,061
Mbuzi asili 72,752 74,935
Mbuzi maziwa 416 428
Kondoo 8,392 8,643
Nguruwe 13,924 14,342
Kuku asili 73,535 75,741
Bata bukini 5,405 5,567
Sungura 3,200 3,296
Mbwa 4,779 4,922
Paka 552 569
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved