Mkururugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa anapenda kutangaza nafasi tatu (3) za wasaidizi wa hesabu,watakaofanya kazi kwa mkataba katika vituo vya afya vya Nkwenda,Murongo,na Kamuli.
Maelezo ya kina yameambatanishwa.Mwisho wa maombi ni tarehe 02/08/2017 saa 9:30 alasiriTANGAZO LA KAZI.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved