Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imepokea fedha kutoka Serikalini kwa Ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,Hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri anapenda kuwatangazia wananchi wote kutuma maombi kwa ajili ya kazi hizi.Mwisho wa maombi ni tarehe 14 Januari, 2019 saa nne kamili asubuhi.kuona tangazo hili ,tafadhali bonyeza hapa TANGAZO LA KAZI ZA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA KYERWA.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved